MkwanjaBetMkwanjaBet
SERA YA FARAGHA

Taarifa zako zinatumika kwa uwazi.

Tunakusanya taarifa chache zinazohitajika kuendesha account, malipo, usalama na mawasiliano ya huduma.

01

Taarifa tunazokusanya

Jina, namba ya simu, email, historia ya subscription, kifaa na matukio muhimu ya usalama wa account.

02

Jinsi tunavyotumia taarifa

Kufungua huduma, kuthibitisha malipo, kutuma arifa ulizochagua na kuzuia matumizi mabaya ya jukwaa.

03

Udhibiti wako

Unaweza kubadilisha taarifa na mapendeleo ya arifa, au kuomba akaunti yako ifutwe kupitia sehemu ya Wasifu.

Rudi kwenye mchezo.

Browse current events or open your secure MkwanjaBet account.

Browse sports →Dashibodi